by admin | Mar 25, 2025 | Blogu ya Kiswahili
UTANGULIZI Unapotaka kuhost website ndogo, uchaguzi wa hosting ni rahisi kwani shared hosting itakupa vitu vyote utakazozihitaji kwa bei rahisi. Lakini website yako inavyozidi kuwa maarufu na kuwana functions nyingi ugomvi na shared hosting server unakuwa mkubwa na...
by admin | Mar 18, 2025 | Blogu ya Kiswahili, Namna ya Kulipa
Kufanya uhamisho wa fedha kutoka kwa simu yako ya mkononi ukitumia laini ya Airtel kwenda kwenye akaunti yetu ya Benki ya NMB, hakikisha kwamba akaunti yako ya Airtel Money ina fedha taslimu za kutosha kufanya uhamisho huo. Malipo ya Benki kwa Maelekezo ya Airtel...
by admin | Mar 17, 2025 | Blogu ya Kiswahili, Namna ya Kulipa
Kufanya uhamisho wa pesa kutoka kwa simu yako ya mkononi ukitumia laini ya Vodacom hadi kwenye akaunti yetu ya benki hakikisha kwamba akaunti yako ya MPESA ina pesa taslimu za kutosha kufanya uhamisho huo. Kwenye simu yako andika *150*00# na ubonyeze kitufe cha kupiga...
by admin | Mar 17, 2025 | Blogu ya Kiswahili, Namna ya Kulipa
Kufanya uhamisho wa fedha kutoka kwa simu yako ya mkononi ukitumia laini ya TIGO hadi kwenye akaunti yetu ya benki hakikisha kwamba akaunti yako ya TIGO PESA ina pesa taslimu za kutosha kufanya uhamisho huo. Kwenye simu yako andika *150*01# na ubonyeze kitufe cha...
by admin | Mar 15, 2025 | Blogu ya Kiswahili, Kutengeneza Website
Vitu vinavyotakiwa ili kutengeneza website ya kampuni ya utalii ni hivi hapa chini: #1. Unatakiwa uwe na domain au jina linaloakisi biashara ya utalii Mfano safariforleisure.com safariforleisure.co.tz wildlifeadventure.com wildlifeadventure.co.tz...
by admin | Mar 15, 2025 | Blogu ya Kiswahili, Kutengeneza Website
Vitu vinavyotakiwa ili kutengeneza website ya kanisa ni hivi hapa chini: #1. Unatakiwa uwe na domain au jina linaloakisi jina la Kanisa Mfano kristomfalme.church kristomfalme.or.tz kristomfalmechurch.or.tz #2. Unatakiwa pia kununua hosting Maelezo kuhusu hosting na...